Category: Kitaifa
Dozi ya Waziri Mkuu kwa NGOs za Loliondo
Kwa miaka mingi, eneo la Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, limekuwa kama ‘jamhuri’ ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Eneo hili lenye utajiri mkubwa wa wanyamapori, limekuwa likiongozwa na asasi zisizo za serikali (NGOs) zenye nguvu za…
Bandari kwafumuliwa
Katika kinachoonekana kuwa nia ya kuisuka upya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Serikali chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Injinia Deusdedith Kakoko, imefumua muundo wote wa uongozi kwa kufukuza Wakurugenzi sita, wafanyakazi 42 na kuwashusha vyeo…
‘Majangili’ 3 mbaroni Arusha
Watu watatu, wamekamatwa mkoani Arusha wakiwa na vipande 16 vya pembe za tembo. Wawili kati yao wanatoka jamii ya Kimaasai ambayo kwa miaka mingi ilijulikana kuwa ni wahifadhi wazuri. Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha zimewataja watuhumiwa hao…
Chuo cha sukari matatani
Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Sukari Tanzania (NSI) kilichopo Morogoro, umelalamikiwa kwa kukiendesha chuo kama taasisi binafsi. JAMHURI imepata taarifa kuwa chuo hicho hadi sasa kimeendeshwa kwa kipindi cha miaka tisa bila kuwa na Baraza la Uongozi. NSI inaongozwa na…
2016: Mwaka wa machungu kwa ‘mapedejee’
Zikiwa zimesalia siku 18 tu kumaliza kwa mwaka huu, baadhi ya Watanzania wameuona mchungu katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli. Mwaka huu umekuwa mchungu kwa wale waliozoea kuishi kwa mipango, wasiokuwa na kazi maalumu zaidi ya…
MSCL kitendawili kigumu
Baada ya miezi 10 bila ya wafanyakazi wa MSCL kupata mishahara, Serikali imeonekana kutaka kutekeleza ahadi yake ya kutaka kuifufua Kampuni hii. Serikali imefanya mabadiliko ya uongozi katika baadhi ya nafasi kwenye menejimenti, imekaribisha na inashindanisha makampuni mawili ya kigeni…