Category: Kitaifa
Kiwanda cha Bakhresa chachafua mazingira
Maisha ya wananchi wanaoishi jirani na Kiwanda cha Bakhresa cha kuchakata matunda kilichopo katika Kijiji cha Mwandege, Mkoa wa Pwani, yapo hatarini kutokana na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda hicho. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wananchi hao wanasema maisha…
Waajiriwa Uhamiaji bila kupewa barua
Ikiwa ni mwezi wa tano sasa vijana 300 walioajiriwa katika Idara ya Uhamiaji wakiwa hawajalipwa mishahara, imebainika kuwa chanzo ni kutopewa barua zao za ajira. Rais John Magufuli, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Ikulu, Dar es Salaam wiki…
Polisi ‘mwizi wa magari’ afukuzwa kazi
Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wake, PC Hamad Mud wa Kituo cha Polisi Sanya Juu, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, akitajwa kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari. Kwa uamuzi huo, Mud anasakwa ndani na nje ya nchi…
Malipo Polisi utata
Ikiwa ni miezi mitatu tangu Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Frank Msaki, asimamishwe kazi kutokana na tuhuma za kufanya malipo hewa ya posho za chakula kwa askari, JAMHURI imebaini yaliyojificha nyuma ya sakata hilo. Tuhuma hizo zilimsukuma Rais, Dk….
Polisi Dar lawamani
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeshiriki katika kuingia kwa mabavu katika eneo la biashara la kampuni ya uuzaji mafuta ya Petrofuel (T) Limited na Isa Limited, hali ambayo ni kinyume cha utaratibu. Askari Polisi, waliotumika kuingia…
Chuo Kikuu Huria kwafukuta
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dk.Hamza Kondo amesimamishwa kazi ya uhadhiri katika mazingira ambayo ameyataja kujaa utata na ukiukwaji wa taratibu za utumishi. Akizungumza na JAMHURI, Dk. Kondo ambaye amekuwa mhadhiri katika kitivo cha Sanaa na Sayansi za…