JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Watalii 35 kutoka Israel watua Rombo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rombo KIKUNDI cha Upendo Group kutokea nchini Israel kimewasili katika Wilaya ya Rombo kwa wiki mbili kuanzia Julai 26 hadi Agosti 6, mwaka huu. Pamoja na kufanya utalii, lakini kikundi hicho kitakarabati madarasa mawili ya shule ya msingi…

Serikali,TUCTA wakutana kujadili malalamiko ya nyongeza ya mishahara

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imekutana na uongozi wa Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kutokana na malalamiko ya wafanyakazi juu ya nyongeza ya mishahara ya kima cha chini. Akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kumalizika kwa kikao…