JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Antony achukua fomu kugombea Jimbo la Same Magharibi kupitia ACT -Wazalendo

Na Ashrack Miraji , Same Mwanasiasa kijana kutoka Kata ya Mhezi, Ndg. Anthony Ishika Mghamba, ambaye ni Naibu Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii WA Baraza Kivuli la ACT wazalendo amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT-Wazalendo…

Chadema sikio la kufa

*Ni kwa kupuuzwa ombi la Mbowe la kuundwa ‘kamati ya maridhiano’ *Makundi ya viongozi, wanachama waandamizi wadai chuki itaua chama *Wadau wajiuliza iwapo CHAUMMA itaweza kuhimili vishindo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Wahenga wanasema sikio la kufa halisikii dawa….

Dk Dimwa : Oktoba 2025 ndio mwisho wa ACT-Wazalendo Pemba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Pemba NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinashinda majimbo yote ya Pemba,kutokana na wananchi wa kisiwa hicho kukiri kuwa CCM imeisimamia vizuri Serikali yake katika kuwaletea…

ATC Wazalendo : Malengo yetu hayawezi kutimia bila kushriki na kushinda chaguzi

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amefungua mafunzo ya viongozi wa majimbo ya Kanda ya Kati mjini Dodoma. Akifungua mafunzo hayo Aprili 12, 2025 jijini humo, Ado amewaeleza viongozi wa majimbo yote 25 ya mikoa ya Dodoma, Manyara…

Dk Dimwa : CCM imejipanga kushinda 2025

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amesema CCM itawachukulia hatua za kimaadili  viongozi,watendaji na wanachama watakaobainika kujihusisha na vitendo vya kuhujumu mchakato wa ndani ya Chama wa kura za maoni.   Hayo ameyasema wakati akizungumza na Kamati…

Mfupa mgumu ‘No Reforms, No Election’

*Chadema waanza kuzunguka mikoani kufanya mikutano ya kuinadi ‘No Reforms, No Election’ *Butiku asema serikali haiwezi kuacha kufanya Uchaguzi Mkuu kwa sababu ya Chadema *Ananilea asema muda unatosha wa kufanya mabadiliko madogo ya Katiba Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es…