Category: Kitaifa
Mauaji gerezani
*Nyampala auawa akidaiwa ‘kuiba’ mahindi ya Mkuu wa Gereza *Mpambe wake anusurika kifo kwa kipigo, alazwa ICU Muhimbili *RPC agoma kuzungumza, aukana mkoa wake akidai yeye ni RPC Mtwara Dar es Salaam Na Alex Kazenga Wakati taifa likifikiria namna sahihi…
Takukuru yachunguza madudu TALGWU
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Salum Hamduni, amesema wanachunguza matumizi mabaya ya ofisi, ikiwamo udanganyifu na kutofuata taratibu za zabuni za ununuzi zinazodaiwa kutokea katika Chama cha Wafanyakazi…
Yanga bingwa, lakini…
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, sasa wanahitaji kushinda mechi nne ili kumaliza msimu na rekodi ya kutokufungwa. Yanga ilitangaza ubingwa wa ligi wiki iliyopita baada ya kuifunga Coastal Union mabao…
Waziri Dk. Mwigulu epuka kodi za kero
Na Deodatus Balile, Dodoma Wiki iliyopita nilikuwa katika Ukumbi wa Bunge. Nilimsikiliza kwa umakini mkubwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, wakati anawasilisha bajeti ya wizara yake. Dk. Mwigulu alieleza kuhusu maeneo mengi hasa kilimo kwa ufasaha mkubwa…
BAJETI 2022/23 Mhadhiri: Tujipange kwa Sh trilioni 20 tu
*Wananchi waomba kodi ya kichwa isirejeshwe DAR ES SLAAM Na Mwandishi Wetu Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa bungeni jijini Dodoma wiki iliyopita imezua mjadala karibu kila kona ya nchi, ikipongezwa katika maeneo mengi, lakini pia serikali ikiombwa kutoa ufafanuzi hapa…
Treni, mabehewa SGR ni mitumba
*Ni tofauti na tambo za awali za TRC kuwa wangeleta injini, mabehewa mapya kutoka kiwandani *Ukarabati, utiaji nakshi mabehewa chakavu haujakamilika; TRC, mzabuni waingia kwenye mgogoro wa malipo NA MANYERERE JACKTON DAR ES SALAAM Injini na mabehewa ya treni vilivyoagizwa…