Category: Kitaifa
Ubalozi Marekani watuhumiwa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatuhumiwa kumpunja mjane mafao yaliyotokana na kifo cha mumewe. Mjane huyo, Salome Leguna, ameushitaki ubalozi huo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Huyu ndiye Rais Samia
*Anaendeleza ujenzi wa miradi mikubwa *Anaimarisha diplomasia ya uchumi *Anaboresha utawala bora, demokrasia DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja tangu aapishwe Machi 19, mwaka jana na kuanza kuongoza nchi baada ya kifo cha…
Vita ya Ukraine ni neema kwa kampuni za mafuta
Na Nizar K Visram Baada ya Urusi kuishambulia Ukraine, Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakatangaza vikwazo dhidi ya Urusi, lengo likiwa ni kuibana isiweze kuuza bidhaa zake kama mafuta na gesi katika soko la Ulaya na kwingineko. Urusi ni…
Dk. Biteko aombwa kusitisha leseni
Shinyanga Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameombwa kufuta leseni ya Kampuni ya El-Hillal Minerals kutokana na walinzi wake kutuhumiwa kumuua kwa risasi mchimbaji mdogo wa madini. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, William…
UNESCO nayo yatia mkono Ngorongoro
*Wakiri hali ikiachwa hifadhi inakufa *Waunga mkono uhamishaji wafugaji *Ujangili, ulaji wanyamapori vyashamiri *Angalizo shughuli za kibinadamu latolewa NA MWANDISHI WETU ARUSHA Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeunga mkono uamuzi wa Serikali ya Jamhuri…
‘Sniper’ wa tembo atupwa jela
*Hukodiwa kwa Sh 300,000 kuua tembo mmoja *Ni mtaalamu wa shabaha, mkazi wa Kibiti, Pwani MARA Na Mwandishi Wetu Huku akiwa bado anatumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa alilokutwa nalo mwaka 2017, Karimu Musa (40), maarufu kwa jina la…