Category: Michezo
Waziri Mkuu Majaliwa mgeni rasmi Samia Marathon Mlandizi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mbio za Samia Marathon zitakazofanyika Februari 22, 2025, katika viwanja vya Shule ya Mtongani, Mlandizi, Kibaha Vijijini, mkoani Pwani. Mbio hizi zinalenga kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu…
TAKUKURU kuna rushwa kwa waamuzi
Na Andrew Peter, JamhuriMedia, Dar es Salaam Madai na shutuma za waamuzi kuhongwa ni moja ya mambo ya kawaida kuyasikia kila siku katika Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini hadi sasa Takukuru haijafanya lolote kuwakamata wahusika. Waamuzi wanalaumiwa kwa kufanya upendeleo…
Serikali yaongeza bajeti ya michezo, yapiga hatua kubwa uendelezaji michezo nchini
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Neema Msitha, amefichua kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeiongezea Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo bajeti kutoka shilingi bilioni 35.44 mwaka wa fedha 2021/2022…
Uwanja wa AFCON Arusha wafikia asilimia 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia asilimia 25 za…
Majaliwa: Tanzania imejipanga maandalizi CHAN, AFCON
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya Fainali za Ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) na Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON). “Tanzania imejipanga vizuri, kuhakikisha kuwa michuano hii…
Sheikh Alhadi Mussa azindua Wanawake Laki moja Cup Temeke
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Temeke JUMUIYA ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Sheikh Dkt. Alhadi Mussa Salum ameipongeza Taasisi binafsi ya Wanawake Laki Moja kwa kudhamini Tamasha Ligi ya Wanawake yenye kauli mbiu: ‘Cheza kama…