JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Hakuna Wakuwazuia Tena Manchester City Kubeba Kombe

Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City…

Kenya Yaipoteza Vibaya Tanzania Kili Marathon 2018

Leo Jumapili Machi, 4 2018 yamefanyika mashindano ya riadha mkoani Kilimanjaro ambayo ni maarufu kwa Kili Marathon ambayo hufanyika kila mwaka. Mashindano haya hushirikisha watu kutoka mataifa mbalimbali, ambapo wale wote ambao hufanya vizuri hupewa zawadi, wakati wengine hupewa medali…

AZAM FC YAITANDIKA SINGIDA UNITED BAO 1-0 CHAMAZI

TIMU ya Azam FC imeichapa bao 1-0 Singhida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Joseph Mahundi dakika ya…

MABINGWA TIMU YA IRINGA UNITED KUUWAKISHA MKOA WA IRINGA KWENYE LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na mgeni rasmi wa fainali ya ligi ya mkoa Fesail Asas wakimkabidhi kombe kampteni wa timu ya Iringa United baada ya kuwafunga Mtwivila City kwa njia ya mikwaju ya…

BAADA YA SIMBA KUCHEZEWA SHARUBU NA STAND UNITED, LEO TENA VIWANJA KUWAKA MOTO

Simba jana kwenye uwanja Taifa wamechezewa sharubu zao baada ya kutoka sare ya mabao 3-3 na Stand United Chama la wana, mechi hiyo ilikuwa kali sana ambapo ilikuwa funga nikufunge, simba wakishinda stand wanachomoa. hivyo mpaka dakika 90 Simba 3…

LAS PALMAS YAIDINDIA BARCELONA, YATOKA NAYO SARE YA 1-1

Barcelona imebanwa mbavu katika harakati zake za kuendelea kujivunia alama za kukalia kilele cha msimamo wa Ligi Kuu Spain, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Las palmas. Barcelona ambao walikuwa ugenini, walianza kupata bao la kwanza kwa…