JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Malinzi na mtazamo wa soka la Tanzania

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya Mkutano Mkuu katika Hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga. Pamoja na mambo mengine, Rais wa shirikisho hilo, Jamal Malinzi, amezungumza na JAMHURI mambo mengi, lakini kwa leo anazungumzia mtazamo wake wa soka la Tanzania….

Arsenal kwanini?

Mashabiki wa Washika Bunduki wa England – Arsenal ‘the Gunners’, wana imani na timu yao, ndiyo maana katika mechi tatu za Ligi Kuu England, licha ya kutokuwa na matokeo ya kufurahisha, wamekuwa wakishangilia tu kwa kuimba “Tunaipenda Arsenal, Tunaipenda…” Kwa…

Mfahamu Gianni Infantino, Rais mpya wa soka duniani

Raia wa Uswisi au Switzerland, mwenye asili ya Italia, Gianni Infantino, mwishoni mwa wiki iliyopita ndiye aliyechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Amechukua nafasi ya Sepp Blatter, aliyedumu madarakani kwa miaka 17 akiongoza shirikisho hilo….

Daktari: Sababu za mashabiki kuzimia

Zaidi ya mashabiki 20, walipata mshtuko Jumamosi iliyopita wakati mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Yanga iliyotoa uwanjani na ushindi wa mabao 2-0. Ajabu ni kwamba kati ya hao, 15 walikuwa ni wa Yanga licha ya timu yao…

Mtikisiko Man U

Kocha Mkuu wa Manchester United, Louis Van Gaal hana amani tena katika timu hiyo. Amezungumza mambo mawili ambayo yamemshtua wikiendi iliyopita. Jambo la kwanza, ni kuthibitishwa na watu wake wa karibu kwamba Kocha machachari, Jose Mourinho ameteta na uongozi wa…

Jose Chameleon azawadia miguu

Mwanamuziki maarufu wa Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleon, amenunua jozi moja ya kiatu aina ya raba kwa dola 12.5 za Marekani (sawa na Sh milioni 27 za Tanzania). Wakati baadhi ya mashabiki wa muziki wakimbeza kwenye mitandao ya…