JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Moalin aikimbia KMC

Na Isri Mohamed Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC, Abdihamid Moalin Amewaaga rasmi wachezaji wake baada ya mazoezi ya jana na kuwaweka wazi kuwa hatakuwa sehemu ya walimu wao tena. Moalin ambaye ameifundisha KMC kwa misimu miwili kwa mafanikio makubwa,…

TPA yaanza kwa kishindo michuano ya SHIMMUTA

Timu za mpira wa miguu na netball za iMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) zimeanza vyema kampeni za kutetea mataji yao baada ya kuzibugiza bila huruma timu za Tume ya Madini na Tume ya Nguvu za Atomic jijini Tanga….

Coast City Marathon kurundima Novemba 30, kuchangia miundombinu shule yaPangani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani unatarajia kuandaa mbio za Coast City Marathon zinazotarajiwa kufanyika Novemba 30, 2024, zikiwa na lengo la kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani iliyopo katika Halmashauri ya Mji Kibaha. Huu…

Msuva arudishwa Stars

Na Isri Mohamed Mchezaji Simon Msuva amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kesho Novemba 07, kujiandaa na mechi mbili za mwisho za kufuzu AFCON dhidi ya Guinea na Ethiopia. Msuva alizua taharuki baada ya jina…

Mchezo wa raga na taswira mpya ya kimataifa

Na Lookman Miraji, JamhiriMedia, Dar es Salaam Mchezo wa raga nchini umeibuka na taswira mpya ya kimataifa mara baada mchezo ya mchezo wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania na timu ya maveterani kutokea nchini Uingereza. Mchezo huo…

Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo

Na Lookman Miraji Wizara ya michezo imesaini mkataba na kampuni ya ujenzi ya Suma JKT juu ukarabati wa viwanja vya michezo nchini. Mkataba huo umesainiwa leo hii huko ikihusisha ukarabati ya viwanja vya michezo ambavyo vitatumika katika mashindano yajayo ya…