JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Mwanariadha akabidhiwa bendera ya Taifa CRDB Marathon

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI imemkabidhi bendera ya taifa mwanariadha, Imelda Mfungo,ambaye ataiwakilisha nchi katika mashindano ya CRDB Marathon nchini Burundi. Mwanariadha huyo ambaye amepata fursa ya kushiriki mashindano hayo ambayo yameandaliwa kwa mara ya kwanza na Benki ya…

Dk Mpango ashiriki kilele cha Wiki ya Mwananchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa jezi yake na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wakati aliposhiriki katika Tamasha la Klabu ya Yanga la kilele cha Wiki ya Mwananchi lililofanyika katika Uwanja…

Yanga yailamba Red Arrows 2 -1 mchezo wa kirafiki

Timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Tamasha la Kilele ya wiki ya Mwananchi katika mchezo uliopigwa Agosti 4, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,…

Yanga kucheza na Red Arrows Siku ya Wananchi

Kuelekea kilele cha siku ya Mwananchi Agosti 04, 2024, klabu ya Yanga imetangaza kucheza na klabu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia Akizungumza na wanahabari mapema leo katika ofisi za Yanga, Afisa muhamasishaji Haji Manara amesema Red Arrows ambao ni…

Msafara wa wachezaji wawasili Paris kushiriki Olympic

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kundi la kwanza la Timu ya Tanzania itayoshiriki Michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa limewasili salama jijini Paris asubuhi ya jana. Kundi hilo la kwanza lina waogeleaji wawili, Sophia Anisa Latiff na Collins Phillip…