Category: Michezo
Simba dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa Aprili 2024
NI rasmi Aprili 20, 2024 Yanga SC watakuwa wenyeji wa watani zao Simba SC katika muendelezo wa kinyang’anyira cha Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023-24. Taarifa iliyotolewa leo na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Bodi ya Ligi Kuu…
Simba, Yanga zatupwa nje Ligi ya Mabigwa Afrika
Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, Afrika Kusini. Katika mchezo…
Serikali ina matumaini makubwa na Simba, Yanga kufuzu CAF
Serikali imesema ina matumaini makubwa na timu za Yanga na Simba katika michezo yao ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Ijumaa wiki hii. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma na…
Al Ahly kwetu kama kwao, wawafunga Simba kwa Mkapa
Na isri Mohamed DAKIKA 90 za mtanange wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba vs AL Ahly ya Misri zimemalizika kwa mnyama kukubali kichapo cha bao moja kwa Nunge lililofungwa kipindi cha kwanza. Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchika…
Mashabiki wawili wa Simba wafariki, watatu wajeruhiwa Vigwaza
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Watu wawili wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana Machi 29 ,asubuhi huko Vigwaza Mizani, Wilaya ya kipolisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Pius Lutumo, amethibitisha…