JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

BMT yatoa neno kuelekea tuzo za michezo

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kuelekea msimu wa tatu wa tuzo za michezo ambazo hutolewa kila mwaka kwa kuwathamini wanamichezo waliofanya vizuri kwa mwaka husika baraza la michezo la taifa(BMT) limesema kuwa tuzo hizo zinatarajiwa kuwa na…

Mwana FA: Mungu akipenda fainali ya Kombe la Shirilisho Afrika itachezwa uwanja wa Mkapa

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Sallaam Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amewatoa hofu wanamichezo nchini mara baada ya uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa hivi karibuni kupisha ukarabati kuchukua nafasi. Uwanja wa Benjamin Mkapa umekuwa…

Timu za kuogelea zang’ara mashindano ya taifa

Na Lookman Miraji Mashindano ya vilabu ya taifa kwa mchezo wa kuogelea yamefikia hatamu hapo jana, Aprili 27 jijini Dar es salaam. Mashindano hayo ambayo ni sehemu ya kalenda ya chama cha kuogelea nchini yamejumuisha vilabu vya mchezo huo kutoka…

Simba mmeipa heshima nchi yetu – Rais Samia

Repost from @samia_suluhu_hassan•Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia…

Makamu wa Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa viwanja vya michezo va Priz Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali zote mbili chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi zimedhamiria kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga…