Category: Michezo
Kuna Edna, kisha makocha wetu
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna mstari mwembamba umepita katika kutenganisha jina la Edna Lema na majina ya makocha wengine wa soka la wanawake nchini. Kimuonekano ni mstari mdogo. Ni mstari mdogo wenye changamoto. Ukiutazama juu juu unaweza kuuona…
Manungu Complex panafaa kwa ligi Morogoro
Na Mwandishi Wetu Baada ya miaka 23 kupita, juzi Jumamosi tuliwaona Simba wakiwa katikati ya mashamba ya miwa yaliyopo Turiani, wakimenyana na ‘wakata miwa’ Mtibwa Sugar katika dimba la Manungu Complex, kisha kutoka sare ya bila kufungana. Mchezo huo ulikuwa…
Thadeo, Katembo wateuliwa Kamati ya Uchaguzi SHIMIWI
DODOMA Na Mwandishi Wetu Aliyewahi kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leonard Thadeo na Hakimu Mfawidhi (mstaafu) wa Mahakama ya Utete, Rufiji, Ally Katembo ni miongoni mwa wajumbe watano walioteuliwa kuunda kamati…
Kisubi aliposajiliwa aliambiwa nini?
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna nyakati mtu unabaki ukicheka tu kutokana na hali inavyokwenda. Kuna golikipa mmoja amewahi kunichekesha sana. Huyu ni Jeremiah Kisubi, golikipa wa Simba aliyetolewa kwa mkopo kwenda kwa wakata miwa wa Morogoro, Mtibwa Sugar…
Yanga Princes waitazame Simba Queens
NA MWANDISHI WETU Jumamosi ya wiki iliyopita Timu ya Yanga Princes ilicheza mechi yao ya saba dhidi ya mtani wao Simba Queens. Kilichobadilika ni idadi ya mabao waliyofungwa katika ‘derby’ zilizopita ukiachana na ile ya Desemba 12, 2020 katika Uwanja…
Tutaanza kumshangaa Sure Boy
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Huko nyuma tuliwahi kuvishangaa viwango vya wanasoka kadhaa wa ndani kama akina John Bocco, Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe. Hawa walitushangaza au waliushangaza ulimwengu wa soka mara tu baada ya kuhamia Simba…