JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba yaifanyia umafia Dodoma Jiji, yainyuka 6 -0

Timu ya Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo a Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar…

Mchezaji wa gofu wa klabu ya Gymkhana aibuka bingwa michuano ya Lina PG Tour

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MCHEZAJI wa gofu wa kulipwa kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Fadhili Nkya ameibuka bingwa katika michuano ya Lina PG Tour yaliyofanyika katika viwanja vya gofu vya Gymkhana, Morogoro jana. Michuano hiyo…

RT yafanya marekebisho ya usimamizi wa mchezo wa riadha nchini

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mwanza Mkutano maalumu wa marekebisho ya katiba ya Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) umefanyika jijini Mwanza kwa kuhusisha wadau mbalimbali wa michezo na viongozi wa Riadha kutoka mikoa zaidi ya 20 ya Tanzania Bara. Lengo kuu…

Lina PG Tour msimu wa pili yaanza kulindima leo, wachezaji 122 wajitokeza kushiriki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WACHEZAJI takribani 122 wamejiandikisha kushiriki mashindano ya Lina PG Tour msimu wa pili yanayoanza kutimua vumbi leo katika Viwanja vya gofu vya Gymkhana mkoani Morogoro. Mashindano hayo ambayo kwa mara ya kwanza yalifanyika…

Bondia Matumla kuzichapa na bondia kutoka Namibia Paul Amavila Februari 28

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam BONDIA Amiri Matumla,anatarajia kupanda ulingoni Februari 28, mwaka huu, kupambana na mpinzani wake kutoka Namibia, Paul Amavila. Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo, Feb 25, 2025 na Mkurugenzi wa Mafia…

Serikali, wadau waombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro SERIKALI wakiwemo wadau mbalimbali wa michezo hasa wa gofu wameombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour yanayofanyika kila mwaka kwa lengo la kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake marehemu Lina Nkya….