Category: Michezo
Mitanange ya kibabe AFCON
Takriban siku tatu zimebaki kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuanza rasmi mwaka huu. Katika michuano hiyo mechi nyingi zitachezwa katika makundi manne, na kila kundi hujumuisha timu nne. Kuanzia kundi A, ambalo linaongozwa na timu mwenyeji,…
Kagera Sugar, Mwadui kicheko
Pengine mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba, wangetamani kuona Kagera Sugar hairudi ligi kuu, lakini ndiyo kama ulivyosikia wamerudi. Uzoefu na mipango vimezifanya timu za Kagera Sugar na Mwadui kurejea ligi kuu msimu ujao wa 2019/2020, timu hizo zimefanikiwa…
Stars chunga hawa!
Ligi mbalimbali duniani zimemalizika katika msimu wa 2018/2019. Fainali ya Europa na UEFA nazo zimemalizika, hicho kikiwa ni kiashiria kwamba wachezaji wanakwenda katika mapumziko na kuanza maandalizi ya msimu mwingine wa ligi. Pazia la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya limefungwa Jumamosi…
TFF wanaiachaje Azam TV, RTD?
Ligi Kuu imekwisha kufikia tamati na Klabu ya Simba kutwaa ubingwa. Nitoe pongezi kwa Simba na uongozi wao kwa hatua hiyo kubwa. Lakini mbali na Simba, timu nyingine kadhaa zimeshiriki ligi hiyo kwa mafanikio hata kama si ya kiwango cha…
Ligi Kuu hekaheka
Hadi hivi sasa tunaweza kusema timu ya Simba SC, Yanga SC, Azam, KMC, Lipuli na timu ya Mtibwa Sugar zimefanikiwa kujitengenezea ‘dunia’ ya peke yao katika Ligi Kuu Tanzania Bara, licha ya ligi hiyo kubakiza mechi chache kabla ya kufikia…
Wapinzani wa Messi dhidi ya Simba SC
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa imezidi kuinogesha Tanzania katika ulimwengu wa soka kiasi cha kuongeza ushindani miongoni mwa timu kubwa hapa nchini. Hii ni kampuni ya michezo ya kubahatisha ambayo imepata kutoa udhamini kwa timu kadhaa hapa nchini,…