Category: Makala
KIJANA WA MAARIFA (2)
Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo la muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu. \ Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda….
Ana kwa ana na Rais Nyerere (5)
Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa magazeti, David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika Gazeti la Kiingereza, New Internationalist, toleo la Mei, 1973. David Martin ni…
Maulid ni jukwaa la kumtangaza Mtume Muhammad (S.A.W)
Kwa mujibu wa kalenda ya sikukuu za kitaifa nchini Tanzania, juzi siku ya Jumapili tarehe 10, Novemba 2019 ilikuwa siku ya mapumziko kwa mnasaba wa kuadhimisha mazazi ya Kiongozi wa umma wa Waislamu duniani, Mtume Muhammad Bin Abdillahi Bin Abdil-Mutwalib…
Dodoma lajipanga kuwa jiji salama zaidi Afrika
Takriban miaka miwili baada ya Rais John Magufuli kuvunja Mamlaka ya Kuendeleza Makao Makuu Dodoma (CDA) na kuitangaza Dodoma kuwa jiji Aprili mwaka huu, ujenzi wa miundombinu ya kisasa, zikiwamo barabara mpya unaozingatia viwango vya kimataifa, ulianza kwa kasi ukilenga…
Ndugu Rais, jicho halijitazami
Ndugu Rais, bendi ya muziki ina ala nyingi. Wakati mwingine muziki unapigwa tangu mwanzo hadi mwisho na msikilizaji asisikie ala fulani ikijitokeza. Baba Phillip Mangula ni mtu wa pili kwa nguvu katika Chama chetu Cha Mapinduzi. Lakini chama na serikali…
Kifo ni faradhi si kete ya ushindi
Kifo ni mauti, ni hilaki. Ni tukio au tendo la kufikia mwisho wa uhai. Ni tendo la lazima kutokea kwa binadamu. Kwa hiyo kila nafsi itaonja mauti. “Inna Lilah Wainna Lilah Rajuun.” Yaani, sisi wote ni waja wa Mwenyezi Mungu…



