Category: Makala
Je, neno baharia lapata maana mpya?
Kitaalamu, lugha ni mfumo wa ishara za sauti za nasibu zilizochimbuka kiholela, baadaye zikakubalika kwa mawasiliano baina ya wanajumuia wa jamii moja. Ni chombo katika kuunganisha pande mbili kifikra, kielimu, kiujuzi na kadhalika. Ni mfumo unaotumika kwa utaratibu wa utii,…
Yah: EWURA simamia vituo kama TAKUKURU
Huwa ninakumbuka sana kauli ya rais wetu anapowatahadharisha watu kwamba hivi hawajui kuwa mambo yamebadilika? Na kuna wakati huwa ninajiuliza, hizi kampuni binafsi zinajua anamaanisha nini? Kama taifa inabidi tusimame pamoja na siku moja tuseme hapana, inatosha kwa mambo kadhaa…
Mafanikio katika akili yangu (6)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Unasemaje?’’ aliuliza Mama Noel kisha yule mlevi ambaye alikuwa mteja wake, akamjibu: “Niachie ya elfu mbili.’’ Mama Noel alimkubalia kwa kuwa siku zote mteja ni mfalme. “Haya mimi ninakwenda,’’ alisema mteja huyo huku…
Ufanye nini mali ya wakfu inapotumika vibaya ?
Wakfu ni nini? Sheria ya Mirathi na Usimamizi wa Mali, Sura ya 352 ndiyo sheria inayoeleza masuala yote ya msingi kuhusu habari nzima ya wakfu. Kwa mujibu wa sheria hiyo, Kifungu cha 140, wakfu ni kutoa mali kulingana na sheria za Kiislamu …
NINA NDOTO (39)
Mteja ni mfalme Wiki ya pili ya Oktoba huwa tunaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Yawezekana huwa unapokea ujumbe wa kukutakia heri katika wiki hiyo kutoka kwa kampuni mojawapo kubwa ambayo huwa unatumia huduma zake. Nilipokea ujumbe kutoka Vodacom uliosomeka,…
Sekondari ya Nainokanoka: Matunda ya NCAA
Jamii ya wafugaji wa Kimasai ni miongoni mwa jamii zilizo nyuma katika mambo mengi ya kimaendeleo, hasa elimu. Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kulitambua hilo, imeamua kuwekeza kwa nguvu kubwa kwenye elimu. Kutokana na jiografia ya…


