Category: Makala
Yah: Sasa litolewe tamko
Naanza na salamu kama Mtanzania mwenye uzalendo. Watu wengi hawaelewi maana halisi ya uzalendo. Inawezekana hata mimi nikawa miongoni mwao, kwa maana ya leo ambayo inazungumzwa na wanasiasa wengi vijana na walioibuka katika uwanja wa siasa kama sehemu ya ajira….
Kunahitajika chombo cha kitaifa kuratibu shughuli za Serikali
Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na wingi wa neema, lakini pia kutupatia uwezo na nguvu kusimamia na kutumia rasilimali zilizopo kwa faida ya kizazi hiki na kijacho. Tanzania imejaliwa kupata rasilimali na…
NINA NDOTO (33)
Nitawezaje kuamka mapema? “Ni jambo la aibu, ndege wa angani waamke kabla yako,” alisema Abu Bakr, rafiki wa karibu sana wa Mtume Muhammad. Siku moja wakati natazama video katika mtandao wa Youtube nilikuta video iliyokuwa ikimuonyesha bondia maarufu…
Maendeleo Bukombe yanavyokimbia (2)
Na angela kiwia Mbunge wa Bukombe, Dotto Biteko, katika mahojiano maalumu na JAMHURI kuhusu mambo ya maendeleo yanayoendelea jimboni kwake, amesema katika kipindi cha miaka mitatu mtazamo wa wananchi wa Bukombe umebadilika, tofauti na ilivyokuwa mwanzo. Biteko, ambaye pia ni…
Bandari za Mwanza kupaisha uchumi Maziwa Makuu
Katika makala hii tutaangazia miradi inayotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kwa bandari zinazosimamiwa na Bandari ya Mwanza ndani ya Ziwa Victoria. Katika Ziwa Victoria, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inamiliki na kusimamia bandari kubwa…
Ndugu Rais maisha haya mpaka lini?
Ndugu Rais, alianza waziri akasema ameshangaa kuona baadhi ya Watanzania wakishangilia kuzuiwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini. Hajawahi kuona sherehe msibani. Ashibae hamjui mwenye njaa – lazima ashangae. Inapotokea hata Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally, naye ameshangazwa…

