Category: Makala
Yah: Nafasi za viongozi wasaidizi
Salamu zangu nyingi sana kama mchanga wa pwani, tena ule msafi, ziwafikie hapo mlipo, hasa nyie mlio mbali na upeo wangu wa macho. Najua mnaendelea vizuri na wengi wenu mnakumbuka mema mengi ya miaka mingi na kuyafananisha na mapya ya dunia…
Wafitini msiue nia ya wakombozi wa Afrika
Fitina na pekepeke ni tabia zinazofanana, zinazoelewana na zina nguvu ya kuvunja mipango ya maendeleo iliyopo na kubomoa mafanikio yaliyopatikana kwa gharama kubwa ya mapenzi, hisani, maarifa, nguvu, utu na umoja. Tabia hizi hazizuki mithili ya uyoga msituni, bali huandaliwa…
Luiza Mbutu aeleza siri ya kutozeeka
Luiza Mbutu wakati wote huonekana msichana kutokana na umbo lake dogo linalomtuma kunengua jukwaani. Ni msanii wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, aliyejiongezea sifa lukuki kwa kujichanganya na wanenguaji wenzake jukwaani, sambamba na sauti yake nyororo anapoimba. Licha ya…
NINA NDOTO (8)
‘Tumezaliwa kwa ajili ya wengine’ Hapo zamani za kale kulikuwa na mkulima aliyenunua vibuyu viwili vya kutekea maji. Baadaye alikuja kugundua kwamba kibuyu kimoja kilikuwa kimetoboka sehemu ya chini. Mkulima huyo alizoea kutekea vibuyu hivyo maji kutoka mtoni na…
Dalili za shambulio la moyo
Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu…
Serikali yahaha Monduli, Karatu kupata maji
Miradi ya maji lazima itekelezwe kwa wakati kama serikali ilivyopanga ili wananchi wapate huduma ya maji safi na salama, na kujishughulisha na kazi nyingine za maendeleo, ikiwamo kutumia maji hayo kuongeza thamani ya bidhaa mbalimbali na kuleta maendeleo zaidi. Naibu…

