Category: Makala
Demokrasia Tanzania imetundikwa msalabani (3)
Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ilipokuwa inasema baadhi ya waandishi wameamua kuisifia serikali tu. Hapana, hii si Tanzania tunayotakiwa kuijenga. Nchi ya waoga wa kuthubutu, nchi ya wanafiki, nchi ya kujipendekeza kwa watawala. Mungu alipompa malaika Lucifer cheo cha…
Tusishangilie kuua upinzani
Nichukue fursa hii kuwapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa Ruge Mutahaba, pamoja na Watanzania wote walionufaishwa na kipawa cha mzalendo huyu. Umati wa watu waliojitokeza na wanaoendelea kujitokeza kumlilia Ruge unadhihirisha wazi aina au muundo wa kibinadamu wa Ruge….
Yah: Nafasi za viongozi wasaidizi
Salamu zangu nyingi sana kama mchanga wa pwani, tena ule msafi, ziwafikie hapo mlipo, hasa nyie mlio mbali na upeo wangu wa macho. Najua mnaendelea vizuri na wengi wenu mnakumbuka mema mengi ya miaka mingi na kuyafananisha na mapya ya dunia…
Wafitini msiue nia ya wakombozi wa Afrika
Fitina na pekepeke ni tabia zinazofanana, zinazoelewana na zina nguvu ya kuvunja mipango ya maendeleo iliyopo na kubomoa mafanikio yaliyopatikana kwa gharama kubwa ya mapenzi, hisani, maarifa, nguvu, utu na umoja. Tabia hizi hazizuki mithili ya uyoga msituni, bali huandaliwa…
Luiza Mbutu aeleza siri ya kutozeeka
Luiza Mbutu wakati wote huonekana msichana kutokana na umbo lake dogo linalomtuma kunengua jukwaani. Ni msanii wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, aliyejiongezea sifa lukuki kwa kujichanganya na wanenguaji wenzake jukwaani, sambamba na sauti yake nyororo anapoimba. Licha ya…
NINA NDOTO (8)
‘Tumezaliwa kwa ajili ya wengine’ Hapo zamani za kale kulikuwa na mkulima aliyenunua vibuyu viwili vya kutekea maji. Baadaye alikuja kugundua kwamba kibuyu kimoja kilikuwa kimetoboka sehemu ya chini. Mkulima huyo alizoea kutekea vibuyu hivyo maji kutoka mtoni na…

