Category: Makala
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
JKT ni mtima wa Taifa (5)
JKT ni mtima wa Taifa (5)Napenda kukumbusha wahusika kuwa wakati utaratibu wa kuwaita vijana kwa mujibu wa sheria ukiandaliwa katika ile (White Paper No. 2 ya mwaka 1966), katika ibara ya 9, kulianishwa masomo ya kuwafundisha vijana wote katika JKT.
Tamaa ya utajiri yachochea ushirikina migodini Geita
“Ushirikina huku Geita ni mkubwa, wachimba madini wengi wanaamini hawawezi kufanikiwa bila kufanya ushirikina, ndio maana kuna vitendo vya mauaji ya alibino na kukata viungo vyao.”
Hiyo ni kauli ya mchimbaji mdogo wa dhahabu katika mgodi wa Nyarugusu alipozungumza na JAMHURI hivi karibuni, kuhusu ukubwa wa imani za ushirikina kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita.
Kwa hili nasimama na David Cameron
NAANDIKA makala hii nikiwa jijini Manchester kwa shughuli maalumu ya kimichezo, nikiwa mdau kiasi. Naandika nikiwa bado na tafakari nzito na hofu juu ya hali ya vyombo vya habari vya Uingereza huko tuendako.
Fursa ya biashara ya mtandao duniani
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wetu ambao mmekuwa mkifuatilia safu hii kwa umakini mkubwa. Niwashukuru kipekee wote wanaonipigia simu, kuniandikia ujumbe mfupi (SMS) na baruapepe. Michango yenu wasomaji ina msaada mkubwa sana katika maeneo matatu.
Mosi, inanipa taarifa kwamba ninachokiandika kinasomwa.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 2
Inatoka toleo lililopita.
Jicho la kulia linaona dini ni mojawapo ya ngao zake katika kuwadhibiti na kuwahukumu raia wake wenye kutenda maovu au kwenda kinyume cha sheria za dola.
Habari mpya
- Ujenzi wa Kampasi ya UDOM Njombe waanza kwa kasi
- Kongamano la Kitaifa la ufuatiliaji, na tathmini kukutanisha washiriki 1000
- Kumchagua Rais Samia ni kuchagua maendeleo – Dk Biteko
- Rais Samia aahidi kujenga Chuo cha ufundi Stadi Manyoni
- Rais Samia: Bahi kupata maji ya Ziwa Victoria
- LHRC yapatiwa ufadhili dola milioni 2 na Ubalozi wa Norway
- Samia anaikomboa nchi kwa giridi ya maji
- TMA yahimizwa kuendelea kushirikisha wadau kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa
- Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 9 -15, 2025
- Rais Samia kuwasili Singida
- Majaliwa azindua kampeni za ubunge jimboni Mchinga
- Zaidi ya wanafunzi 100 kundi la pili wakabidhiwa VISA na vitabu vya muongozo na GEL
- Waziri Mkuu akutana na Dk Kashililla
- Waziri Mkuu akutana na balozi wa Tanzania nchini Japan
- Waziri Mkuu wa Japan atangaza kujiuzulu