Category: Makala
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
- Waziri Lukuvi: Maandalizi ya mazishi ya hayati Cleopa Msuya yamekamilika
- Kanisa Anglikana lasisitiza umuhimu wa Uchaguzi Mkuu Oktoba
- Polisi Mbeya wachunguza tukio la kuvamiwa mfuasi wa CHADEMA
- NMB yaandika historia kwa kushinda tuzo sita kubwa, ikiwemo ya benki bora kwa uendelevu barani Afrika
- Dk Dimwa awapiga msasa wenye ulemavu
Habari mpya

- Makamu wa Rais ashiriki kuagwa kwa hayati Cleopa Msuya
- Rais Dk Samia aongoza Watanzania kuaga mwili Hayati Mzee Msuya
- TNBC kuanzisha kituo cha Kimataifa cha huduma za kifedha kuvutia wawekezaji
- Ukatili wa watoto mtandaoni faini sh.50 milioni
- Kuelekea Bajeti ya Wizara ya Elimu wananchi Mwanza, Dodoma waipa heko Sera Mpya ya Elimu 2024
- Papa Leo XIV atangaza sera za uongozi wake
- Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30
- Rais Dk Mwinyi azindua Kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Unguja
- Serikali kununua mitambo kusafishia Ziwa Victoria
- Tanzania Afrika Kusini zakubaliana kushirikiana kiuchumi