Category: Makala
Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (4)
Mwaka 2013 nilichapisha chapisho la kitabu kinachoitwa ‘Lengo la Mpinga Kristo.’ Prudencia Onukwo, raia wa Kenya ni miongoni mwa wasomaji waliobahatika kusoma chapisho hilo. Prudencia alinitumia ujumbe mfupi kwa njia ya barua pepe, ujumbe huo aliupa jina la ‘Mwanadamu anaelekea kuzimu’. …
Marekani imethibitisha klorokwini kutibu corona?
Rais wa Marekani, Donald Trump, anadai kuwa dawa maarufu inayotibu malaria imethibitika nchini humo kuwa tiba dhidi ya virusi vipya vya corona. Klorokwini ni dawa ya zamani inayokubalika zaidi kama dawa sahihi kupambana na malaria duniani. Watu wanajiuliza, je, Trump…
Ummy asisitiza umakini maofisa mipakani
Katika kukabiliana na ugonjwa wa homa kali inayosababishwa na virusi vya corona, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewataka maofisa afya kwenye mipaka yote nchini kufanya ukaguzi wa kina kwa wageni wanaoingia nchini badala…
Maendeleo yanaletwa na watu
Mtu adilifu anatengeneza kitu iwe kwa kuunda, kurekebisha kilichoharibika au kisichofaa kwa matumizi, ili kifae. Mtu dhalimu anavunja, anaharibu au anashusha hadhi ya kitu kilichotengenezwa. Anabomoa. Watu wawili hawa kila mmoja ana uhuru wa kuwaza, kutoa mawazo yake kufanya au…
Yah: Waziri wa Afya kuna mahali unachezewa
Mheshimiwa Waziri, naomba nikushike sikio, labda kuna kitu kinaweza kukukumbusha juu ya ugonjwa huu wa mafua makali ambayo sasa yametuletea tafrani kubwa nchini na kusababisha mdororo kwa baadhi ya sekta. Elimu ni mojawapo ya sekta ambazo zimeathirika sana, si rahisi…
Mafanikio katika akili yangu (23)
Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akaichukua na kuipokea kisha akaiweka sikioni: “Haloo!’’ Sauti akaifahamu kuwa ni ya profesa mwenzake. “Mbona sikuoni, hauko kwenye baraza mwaka huu?’’ Profesa baada ya kusikia hivyo akashituka: “Kwani kuna baraza la mitihani gani hapo?’’…