Category: Makala
Aliyeajiriwa anamtaka kijana akajiajiri
Tatizo la ajira ambalo linaendelea kusumbua nchi nyingi duniani, Tanzania ikiwemo, limegeuka kuwa ajenda kubwa katika mijadala ya aina mbalimbali. Mingi ya mijadala hii inalenga kutoa maoni juu na namna nzuri ya kukabiliana na tatizo hilo. Ajenda kubwa hapa ni…
NYUMA YA PAZIA
ALEXANDER GRAHAM BELL Alivumbua simu lakini alikuwa mnyanyasaji mkubwa Karibu katika safu hii mpya inayolenga kuangalia upande wa pili wa maisha ya watu maarufu ambao wamefanya mambo makubwa duniani. Kwa kawaida, watu hao hujulikana zaidi kwa mambo hayo makubwa waliyoyafanya….
Tusipende amani kwa kuisahau haki
Daima amani ni tunda la haki. Penye haki amani hutamalaki. Mwenye haki, kwa maana ya kutenda na kutendewa haki, mara zote huwa mpole na mtulivu. Kwa sababu sioni ni kitu gani kitamfanya akose utulivu kama haki yake haijaguswa. Kwa wakati…
Ubabe haujengi, hauna tija (1)
Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tutapata fursa nyingine ya kuwachagua viongozi wa kuendesha gurudumu letu la maendeleo kwa miaka mitano ijayo. Hapa nchini tunasema demokrasia ya kupokezana vijiti kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu. Mwaka huu tutachagua tena…
Waganda walizwa mabilioni ya fedha mtandaoni
Hakuna nchi ambayo raia wake wameathirika kwa kutapeliwa fedha zao kupitia teknolojia za kwenye mitandao kama Uganda. Wengi wamekwisha kufikia hatua ya kujiua baada ya kubaini kuwa wametapeliwa mabilioni ya fedha walizowekeza kupitia mitandao ya fedha za kidijiti (cryptocurrency). Mmoja…
Hatua za kutoa mzigo bandarini
Kutokana na uchumi wa viwanda unaoendelea kukua nchini, idadi ya wafanyabiashara wanaoagiza malighafi na mizigo kutoka nje kuja Tanzania inazidi kuongezeka. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeliona hili na inaendelea kuboresha huduma zake kuhakikisha wafanyabiashara wanaagiza malighafi na…