JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwiba uliomkwama mtoto kwenye koo waondolewa na madaktari bingwa wa Samia

WAF – Tanga Jopp  la madaktari bingwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan waliokita kambi kwenye Hospitali ya Jiji la Tanga iliyopo Kata ya Masiwani wamefanya upasuaji wa kuondoa mwiba uliokwama kwenye koo la mtoto mdogo wa mwaka mmoja na…

TMA : Hakuna tena tishio la kimbunga Ialy nchini

Dar es Salaam, 22 Mei 2024 Saa 4 Usiku:Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “IALY” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 17 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa…

Tanzania, Msumbiji kuanzisha Jukwaa la Pamoja la Biashara

Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Silvino Augusto José Moreno, Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji kwenye Ofisi ya Wizara hiyo Jijini Maputo. Katika mkutano huo, Viongozi hao wawili…

Tanzania kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Usalama na Amani Afrika

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeaminiwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika ambapo katika maadhimisho hayo ya miaka 20 tanayotarajiwa kufanyika Mei 25,2024 jijini Dar es Salaam…

RC Chalamila awataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari bila shuruti pamoja na kutoa risiti za EFD. Vilevile, Chalamila amewaonya wafanyabiashara wanaotishia kugoma pale ambapo wanatakiwa kulipa…

Watu 85 wauwawa kufuatia mapigano makali Sudan

Shirika la Madaktari wasio na mipaka la MSF limesema takriban watu 85 wamefariki katika hospitali moja kwenye mji wa El-Fasher huko Darfur tangu mapigano yalipozuka kati ya pande zinazozozana nchini Sudan Mei 10. Mkuu wa mpango wa dharura wa shirika…