Latest Posts
JKT Queens yafanya mauaji Ngao ya Jamii
Klabu ya JKT Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii wanawake 2024 baada ya kuikanda Ceasia Queens mabao 7-0. Mchezo huo wa kwanza wa nusu fainali Ngao ya Jamii wanawake umefanyika wenye uwanja wa KCM, Dar es Salaam. Kwa ushindi…
Tanzania kuandaa mashindano akili mnemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TANZANIA inatarajia kuwa nchi ya kwanza Afrika kuandaa uzinduzi wa mashindano ya Akili Mnemba na roboti ya vijana wa Afrika katika kongamano la nane la Tehama litakalowakutanisha wataalamu mbalimbali wa sekta hiyo kutoka…
Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika kufanyika Oktoba 21 Dar
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) litakalofanyika nchini Tanzania kuanzia tarehe 21-27 Oktoba, 2024 huku washiriki zaidi ya…
Serikali yawataka wataalam wa maabara za binadamu kulinda taaluma yao
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imewataka Wataalam wa Maabara za binadamu nchini kuilinda taaluma yao kwa kuwa ina mchango mkubwa katika utoaji wa huduma za afya kwa jamii. Naibu Waziri Mkuu wa Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema hayo…
TBA kuwaondoa wadaiwa sugu 648 wanaodaiwa bilioni 14.8/- kuanzia Oktoba 7, mwaka huu
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) wanatarajia kuendesha Operesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu 648 katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma na Mara Oktoba 7, 2024. Pia imeelezwa kwamba licha ya kuondolewa wadaiwa hao katika nyumba…
Iran yatishia kushambulia miundombinu yote ya Israeli
Mkuu wa majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Bagheri ametishia kulenga miundombinu ya Israel, ikiwa itachukua hatua zozote za kulipiza kisasi dhidi ya Tehran. “Ikiwa [Israeli]… inataka kuendeleza uhalifu huu au inataka kufanya lolote dhidi ya mamlaka yetu na uadilifu…





