JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Misafara ya kitalii Shanghai yafana, washiriki zaidi ya 250 wajitokeza

Leo Mei 19, 2024 katika mji wa Shanghai China yamefanyika matembezi ya kitalii(Roadshows) ikiwa ni muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na China na uzinduzi wa mwaka wa utalii na utamaduni uliofanyika Mei 15, 2024….

Waziri Mkuu atoa wito kwa wanaotelekeza wanawake

………..….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie taarifa na takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika kuandaa mipango na mikakati ya uwezeshaji wa wanawake nchini. Mbali na hayo pia…

RC Chalamila ataka taasisi za elimu kuandaa mtaji wa kibinadamu

-Asema nchi za Afrika zina kila kitu lakini bado hazijawekeza vizuri katika mtaji wa kibinadamu (Human Capital). -Awataka wazazi na walimu kuwawezesha wanafunzi kutambua uwezo wao kama wanajamii wenye tija. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila…

TANROADS yaanza utekelezaji maagizo ya Waziri Bashungwa, yatangaza zabuni ujenzi madaraja ya Chakwale, Nguyami

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umeanza kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa aliyoyatoa Februari 22, 2024 wakati wa ziara yake ya siku Nne mkoani Morogoro ya kukagua miundombinu ya barabara ikiwa ni utekelezaji…

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mkuranga SERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani CAD 20 milioni (Shilingi Bilioni 38) zitakazo tekeleza Mradi wa “Her Resilience, Our Planet Project”. Miradi huo unalenga kuongeza ushiriki wa vijana na wanawake katika shughuli…