JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Akiba benki yatoa elimu ya fedha kwa wadau mbalimbali

Na Magrethy Katengu, Jamuhuri Media Dar es Salaam Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi na kuchochea kukua kwa uchumi wa Taifa….

Majaliwa: Watanzania tuendelee kudumisha amani, upendo na mshikamano

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa  Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu, uonevu na uvunjifu wa amani. Pia amewasihi waimarishe malezi kuanzia ngazi ya familia ili kuepuka athari za mmomonyoko…

Dk Mpango amuwakilisha Rais Samia mazishi ya Makamu wa Rais Malawi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Hayati Dkt….

Waziri Mkuu mgeni rasmi swala ya Eid na Baraza la Eid kitaifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Pia Mheshimiwa Majaliwa amekuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Baraza la Kitaifa lililofanyika katika msikiti huo…

Seris Foundation yatoa msaada wa vifaa kwa watoto wachanga siku ya mroto wa Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya SERIS (Seris Foundation) yenye makao makuu yake Ilala, Jijini Dar es Salaam Juni 16,2024 imetembelea na kutoa msaada wa vifaa kwa Watoto Wachanga waliozaliwa usiku wa kuamkia Juni 16 katika Hospitali…