JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wizara ya Afya yaanzisha mjadala wa wazi wa elimu ya afya kupitia Tiktok Live

Na.Elimu ya Afya kwa Umma Katika kuhakikisha Elimu ya Afya inayafikia kwa urahisi makundi mbalimbali ya Kijamii hususan kundi la vijana wa kisasa ari maarufu Genz, Wizara ya Afya Afya kupitia Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa…

Mradi wa kupelekea umeme kwenye vitongoji kuchochea uchumi, viwanda na biashara

*Bilioni 60.9 kupeleka umeme kwenye vitongoji 581 Shinyanga Shinyanga Imeelezwa kuwa Mradi wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara nchini unakwenda kuchochea shughuli za…

UNMISS yaendelea kutambua mchango wa Tanzania katika ulinzi wa amani Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) umeendelea kutambua na kuthamini mchango wa askari kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoshiriki katika operesheni za ulinzi wa amani nchini humo. Katika hatua hiyo, askari wa Tanzania waliomaliza muda wao wa kuhudumu…

Mkuu wa Majeshi afunga mafunzo ya askari wapya Kihangaiko Pwani

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amefunga rasmi mafunzo ya Askari wapya katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi (RTS) Kihangaiko Msata mkoani Pwani leo tarehe 31 Januari 2025. Jenerali Mkunda…

Ulega atoa siku 28 kuvunja mkataba wa mkandarasi wa bilioni 94 Kyerwa -Omurushaka

Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa siku 28 kwa Wizara ya Ujenzi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Kagera kuhakikisha wanakamilisha taratibu za kusitisha mkataba na kumfukuza kazi mkandarasi aliyeshindwa kutekeleza ujenzi wa barabara ya kilomita 50…