Latest Posts
Rais Samia aibuka kinara tuzo za uhifadhi na utalii
Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum ya Kiongozi Mwenye Maono ● Watalii wa kimataifa wafikia zaidi ya milioni 2.09 mwaka 2026 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameibuka kinara wa Tuzo za Kitaifa za Uhifadhi…
Zaidi ya vijana 1,990 kunufaika na programu ya MBT–Tarime
Zaidi ya vijana 1,990 wa Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara, wamenufaika na awamu ya kwanza ya Programu ya Mining For A Brighter Tomorrow (MBT) inayotekelezwa katika eneo la Nyamongo, ikiwa ni mkakati wa Serikali wa kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia…
Zaidi ya watu 200 wafariki katika mgodi ulioporomoka DR Congo
Zaidi ya watu 200 wamefariki dunia katika mgodi ulioporomoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, mamlaka ya waasi imesema. Mgodi huo, katika mji wa Rubaya, uliporomoka juzi kutokana na mvua kubwa, Lumumba Kambere Muyisa, msemaji wa gavana wa waasi…
Utitiri wa ving’ora barabarani, namba za magari Serikali yatoa tamko
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali iko mbioni kuweka kampeni ya kudhibiti utitiri wa ving’ora vinavyowekwa katika magari ya watu binafsi ambayo hayatambuliwi na Kanuni za Usalama Barabarani huku pia akigusia…
Jela miaka 30 kwa kubaka na kulipa faini ya milioni tano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Mahakama ya Wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya milioni 5 atakapomaliza kifungo Evarist Justin Chamtepa (44) mkazi wa kijiji Cha Nkomolo kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa…





