JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Elimu ya majanga ya dharura ianze ngazi ya jamii

Na WAF, Kagera  Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Kagera Bw. Bwai Biseko ameitaka timu ya wataalam wa  kuzuia na kukabiliana na majanga ya dharura katika mkoa wa Kagera ijikite zaidi kutoa elimu ya majanga ya dharura na athari zake…

Serikali yabuni teknolojia mpya ya kuvuna senene kisasa

Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO), kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) pamoja na VETA, imeendelea kufanya tafiti mbalimbali zinazolenga kuendeleza na kuboresha biashara ya senene katika mkoa wa Kagera. ‎Hayo yalibainishwa Bungeni Jijini…

Serikali yaendelea kuwashika mkono wanafunzi wenye mahitaji maalum

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutekeleza ahadi za Rais Samia kwa vitendo, hususan katika kuhakikisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wanajisikia kuwa sehemu ya jamii na hawatengeki na…

Diamond aipongeza JAB, aahidi vyombo vyake kufuata matakwa ya sheria

Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Wasafi Media, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ameipongeza Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari, huku akiahidi kuwa tayari kufuata matakwa…

Haya hapa matokeo kidato cha nne

FUNGUA CHINI👇👇 https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm

CRDB yajipanga kuwezesha wabunifu kibiashara

Na Mwandishi Wetu BENKI ya CRDB imesema ipo tayari kuunga mkono tasnia ya ubunifu nchini kwa kuweka mifumo ya kifedha itakayowawezesha wabunifu kubadili vipaji vyao na kuwa biashara endelevu zenye mchango wa moja kwa moja katika uchumi wa Taifa. Akizungumza…