JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

JK ashiriki misheni ya SADC Uchaguzi Mkuu DRC

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kufuatia maelekezo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ of Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa Jopo la Wazee wa SADC( SADC Panel of Elders-POE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,…

Naibu Waziri Pinda atembelea maeneo ya waathirika wa mafuriko Hanang

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Mizengo Pinda ametembelea maeneo yaliyoathirika Mafuriko yaliyotokana na maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanang. Pinda ametembelea maeneo Desemba 20, 2023 kabla ya kuhudhuria kikao…

Oparesheni maalumu yakamata vifaa tiba vya Serikali ya mil.11.2/- kwenye maduka binafsi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Vifaa tiba vya Serikali vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi 11,297,500 vimekamatwa katika vituo na maduka binafsi. Mbali na vifaa hivyo pia dawa mbalimbali za zikiwemo mseto za kutibu Malaria, videngo aina ya ALU, dawa…

Wenye chumvi pelekeni kiwanda cha Neel – Mahimbali

#Kiwanda kinauwezo wa kuzalisha tani 600 za chumvi kwa siku #Kimetoa ajira kwa zaidi ya wafanyakazi 500 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Wito umetolewa kwa wazalishaji wa madini ya chumvi nchini kupeleka malighafi hiyo katika Kiwanda cha Neelkanth Salt Limited…

Mpango : Uhusiano wa Tanzania na Saudi Arabia waimarika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okeish, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 19 Desemba 2023. Katika mazungumzo hayo, Makamu…