Latest Posts
FCS yatoa tathmini ya mwaka mmoja utekelezaji mradi wa ‘Uraia Wetu’
Msimamizi wa Mradi wa ‘Uraia Wetu’ Nicholas Lekule akitoa tathimini juu ya mradi huo, katika semina ya Wahariri na Waandishi wa Habari iliyofanyika leo Disemba 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Msimamizi wa Mradi wa ‘Uraia Wetu’ Nicholas Lekule akizungumza kwenye…
Wabunifu wa huduma za afya za kidigitali wahimizwa kuboresha huduma bora za afya kupitia TEHAMA
Na WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu amewahimiza wabunifu wa Huduma za Afya za Kidigitali kushirikiana na Serikali ili kuweza kuboresha huduma bora za kiafya kwa wananchi kupitia TEHAMA. Dkt. Jingu ameyasema…
Waziri Jafo : Tanzania kunufaika na fedha za Miradi ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Tanzania inatanufaika na fedha za miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ametoa kauli hiyo leo Desemba 18, 2023…
Nchi tatu zaanza kupata umeme kutoka Rusumo , Machi 2024 kuzinduliwa
Tanzania, Rwanda na Burundi zaanza kupata umeme kutoka Rusumo Mradi kuzinduliwa mwezi Machi 2024, Dkt. Biteko ataka ukamilike mapema Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati…
Maandalizi ya utunzaji historia ya Muhimbili tangu ikiwa Sewahaji yaanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Maandalizi ya utunzaji wa historia ya Hospitali ya Taifa Muhimbili tangu enzi za Sewahaji hadi sasa yameanza ambapo leo Uongozi wa Makumbusho ya Taifa umekutana na Uongozi wa hospitali kujadili namna nzuri ya kushirikiana kutekeleza…