JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC Chalamila apongeza Kampuni ya Derm Group

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa pongezi hizo katika sherehe za miaka 25 ya mafanikio ya Kampuni hiyo toka kuanzishwa kwake, hafla iliyofanyika Desemba 16,2023 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Ilala jijini Dar es Salaam. Akiongea…

Serikali kuunganisha mashirika 16, kufuta manne

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeekeza kuunganishwa mashirika na taasisi 16 na kufuta mengine manne yaliyokuwa chini ya Msajili wa Hazina ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango…

Ulega: Wafugaji lisheni juncao kuongeza mazao ya wanyama

Na Byarugaba Innocent,JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ametoa rai kwa wafugaji nchini kuilisha mifugo yao nyasi zilizoboreshwa aina ya Juncao ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na mazao mengine yatokanayo na wanyama kuifikia tija kwenye sekta ya…

Wizara ya Afya yaielekeza MSD kujiendesha kibiashara na kuwa wabunifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMwdia, Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ameilekeza Bohari ya Dawa (MSD) kuwajali wateja na kuwashirikisha katika suala zima la kuwapa huduma za mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya nchini. Dkt. Jingu…