Latest Posts
TRA yatoa elimu kwa mara ya kwanza kwa waandishi habari wa JUMIKITA
Na Magrethy Katengu, JamhuriMeedia, Dar es salaam Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewaomba waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kuwa na desturi ya kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili kusaidia kuwapata wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi….
Serikali yaitaka TUCTA kuweka milakati ya kuwafikia wafanyakazi sekta isiyo rasmi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Deogratius Ndejembi amelitaka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania TUCTA kuweka mipango madhubuti ya kuwafikia na kuwapa elimu wafanyakazi wanaofanya…
Tanzania yapongezwa kuanzisha mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya jamii
Na WAF – Geneva, Uswisi Wadau wa maendeleo wa Sekta ya Afya wameipongeza Tanzania kwa kuanzisha mpango jumuishi na shirikishi wa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii utakaowafikishia wananchi huduma za Kinga, Tiba na Elimu ya Afya mahali walipo bila…
Bashungwa aweka wazi miradi itakayoondoa msongamano wa magari katika majiji
Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2023/25 Bungeni Dodoma. Amesema miradi hiyo ni…
TANROADS kuanza ujenzi daraja la Jangwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha Makadirio…
Wizara ya Ujenzi yaanika vipaumbele nane
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele nane vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema bajeti itazingatia kufanya matengenezo ya miundombinu…





