JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC Senyemule : Rais Samia anatamani akutane na kero ambazo zipo nje ya uwezo wa viongozi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema kuwa moja kati kitu ambacho Rais Samia anatamani kukiona anapotembele katika kata ni kukutana na kero ambazo zipo nje ya uwezo wa afisa tarafa na mtendaji wa kata na sio zile ambazo…

Muhimbili, Kairuki wasaini mkataba kuongeza wigo upatikanaji dawa zenye ubora sokoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo imesaini mkataba wa makubaliano na Kiwanda cha Dawa cha Kairuki (KPTL) kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa dawa Muhimbili Upanga na Mloganzila . Mkataba huo umehusisha maeneo…

Milioni 344 zamaliza kero ya maji vijiji viwili Songe

Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Songwe ZAIDI ya watu 6,000 wa vijiji vya Ilasilo na Kongatete Halmashauri ya wilaya Songwe mkoani Songwe, wanatarajia kuondokana na changamoto ya huduma ya maji safi na salama. Ni baada ya wakala wa maji na usafi…

Wakazi Tabora, Mara watakiwa kujitokeza kwenye majaribio ya uboreshaji taarifa za wapiga kura

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora TUME ya Taifa ya uchaguzi imewataka wakazi wa Mikoa ya Tabora na Mara kujitokeza kwa wingi kwenye majaribio ya uboreshwaji taarifa za wapiga kura kwenye mfumo ili kufanikisha zoezi hilo kwa asilimia 100. Wito huo…