Latest Posts
Tanzania,Romania kuimarisha ushirikiano, zatia saini makubaliano maeneo haya
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Tanzania na Romania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati ikiwemo afya, kilimo, elimu, mazingira na madini. Pia zimetia saini hati za makubaliano kushirikiana kwa pamoja kukabiliana na maafa na misaada ya…
Watatu wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa kwa kosa la mauaji
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu watu watatu kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuua kwa kukusudia na wawili miaka mitatu kwa kosa la kushiriki katika mauaji. Katika hukumu iliyotolewa mbele ya Jaji A.E….
Picha:Rais Samia ampokea Rais wa Romania ikulu
Rais Samia Suluhu Hassan, amempokea Rais wa Romania, Klaus Werner Iohannes, Ikulu Dar es Salaam katika ziara ya kitaifa, leo Novemba 17, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake…
TAKUKURU Ruvuma yafuatilia utekelezaji miradi 19 yenye thamani ya bil. 4.5/-
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ruvuma (TAKUKURU), imefanikiwa kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo 19 yenye thamani ya jumla ya sh. Bilioni 4.5 ambapo mapungufu machache yalibainika ambayo yalitolewa…
Taasisi inayojihusisha na utoaji elimu ya ugonjwa wa kisukari yatoa elimu Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani TASISI inayojihusisha na utoaji elimu ya ugonjwa wa kisukari kwa jamii (DICOCO) imetoa elimu kwa wananchi wa Wilaya za Bagamoyo na Kisarawe mkoani Pwani kuhusu ugonjwa wa kisukari sambamba na kujiepusha na dalili za ugonjwa…
Tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa ukaa.
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka milango wazi kwa wawekezaji nchini na duniani kote kuwekeza kwenye biashara ya hewa ukaa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa “Ibara ya 6.4” ya…