Latest Posts
Dk Biteko ashiriki misa takatifu ya kumwombea hayati Magufuli Chato
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anatekeleza kwa kasi kubwa misingi iliyowekwa na Hayati Magufuli 📌 Dkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli Chato 📌 Familia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru Rais Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….
Ujenzi wa bandari Kisiju kizungumkuti, wasuasua
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Kisiju ,Kata ya Kisiju ,Mkuranga mkoani Pwani ,bado kaa la moto ,kizungumkuti kwani umechukua muda mrefu huku wananchi wakiwa katika sintofahamu. Wajumbe wa Bodi ya Barabara ,Mkoani humo, wameonesha…
‘Madai ya ACT- Wazalendo kujitoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa yapuuzwe’
KATIBU wa Kamati ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis amesema kuwa madai ya ACT-Wazalendo ya kujitoa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) yapuuzwe na hayana mashiko kwani Serikali hiyo imeundwa kwa nguvu ya kura…
Kamati ya Bunge yafurahishwa na uwekezaji uliofanywa sekta ya hali ya hewa
Na Mwandishi Wetu, KamburiMedi Kamati ya Kudumu ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipongeza Serikali kwa uwekezaji mkubwa kwenye sekta hali ya hewa nchini. Hayo yameelezwa wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na TMA…
Zungu asisitiza ulipaji kodi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbunge wa Ilala na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amewataka Watanzania kuendelea kulipa kwani ni muhimu kwa maendeleo ya Nchi. Amesema lengo kuu la serikali…