Latest Posts
Utafiti wa GST waongeza kasi ya ukataji leseni Mtwara
Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Serikali kupitia Taasisi ya Jilolojia na Utafiti wa Madini (GST) imefanya utafiti wa awali na kuainisha madini yanayopatikana katika Mkoa wa Mtwara hatua iliyosaidia wananchi kukata leseni ya utafiti na kujihusisha uchimbaji wa dhahabu ambao…
Kabudi atoa mafunzo ya uongozi kwa viongozi UWT, UVCCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb) ameshiriki kutoa mafunzo ya uongozi kwa viongozi vijana kutoka UWT na UVCCM, ambapo leo Novemba 1 katika shule ya uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere amewafunza viongozi vijana umuhimu…
RC Songwe : Atakayebainika kutumia vyandarua kuvulia samaki hatua kali kuchukuliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa Mkoa wa Songwe, Dk. Francis Michael, ameonya matumizi mabaya ya vyandarua kama vile kufugia kuku au kuvulia samaki. Akizungumza jana mkoani humo wakati akizinduza mpango wa ugawaji wa vyandarua katika shule za msingi…
Chalamila ataka kasi ukusanyaji mapato Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 31,2023 ameongoza kikao maalum cha tathimini ya ukusanyaji mapato katika Mkoa huo kwa kipindi cha robo mwaka wa fedha 2023/2024 ambacho kimefanyika katika ukumbi…
Serikali : Uzalendo kigezo kusimamia dawati la kupinga ukatili vyuoni
Na WMJJW JamhuriMedia, Iringa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka Wakuu wa vyuo Vya Elimu ya Juu na Kati kuteua Waratibu Dawati la Jinsia waadilifu, katika kutatua changamoto za…
Askari wanawake watakiwa kuongeza idadi ya washiriki wa ulinzi wa amani
Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Askari wanawake watakiwa kuwa mstari wa mbele katika kushiriki misheni za kulinda amani katika mataifa yenye changamoto za kiusalama. Hayo yamebainishwa jijini Dar es salaam katika maadhimisho ya 23 ya adhimio la…