Latest Posts
Trump ataka mdahalo wa uchaguzi na Biden
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amemtaka Rais Joe Biden kuandaa mdahalo wa wao wawili kufuatia Trump kuonekana kupata ushindi katika kura za jumla za mchujo, maarufu kama Super Tuesday, zilizofanyika wiki hii. Rais wa zamani wa Marekani Donald…
Serikali yatoa sh.mil.982 kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali imetoa Sh milioni 982 kwa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) ili kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua za El-Nino zilizoanza kunyesha Septemba 2023 hadi sasa katika baadhi ya maeneo mkoani Kagera. Akiwasilisha…
Mnapompandisha Ayoub, msimshushe Manula
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia BAADA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba vs Tanzania Prison uliomalizika kwa mnyama kufungwa mabao 2 kwa 1 akiwa nyumbani, mjadala mkubwa ulioibuka ni kiwango cha golikipa Aishi Manula ambaye alianza golini akibezwa…
Singida FG yatimua benchi lote la ufundi
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Bodi na Menejimenti ya Klabu ya Singida Fountain Gate FC imefikia uamuzi wa kuvunja benchi lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu Thabo Senong, kufuatia mfufulizo wa matokeo yasiyoridhisha ya klabu hiyo. Mechi tano za…
Dube aaga rasmi Azam FC
Na Isri Mohamed, JamhuriaMedia, Dar Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube raia wa Zimbabwe, kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza rasmi kuachana na klabu ya Azam FC, baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni Azam FC walitoa taarifa ya…
Wadanganyifu wote wa NHIF wamechukuliwa hatua
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Meneja wa Kitengo cha Kupambana na Udanganyifu kutoka NHIF Bi. Rose Ntundu ametoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji zinazosambazwa mtandaoni kuhusu watumishi 148 wa NHIF kuhusika kwenye vitendo vya udanganyifu. Ntundu amesema…