JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Biteko : Rais Samia anatamani mradi wa JNHPP uanze haraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan anatamani Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uanze mapema ili Watanzania wapate umeme wa uhakika. Hayo yameelezwa leo Oktoba…

Watatu wafariki na wengine wanne wajeruhiwa katika ajali iliyotokea Mbala Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia ,Pwani WATU watatu wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani ikihusisha magari mawili kugongana uso kwa uso huko Kijiji cha Mbala, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani majira ya saa 3 usiku Oktoba 23/2023….

Rais Samia aweka shada la maua kaburi la Kaunda

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Lusaka Zambia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema kuweka maua katika mnara wa Mashujaa uliopo viwanja vya uhuru kama ishara ya…

Serikali yaja na mkakati ya kuinua vijana kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inainua ustawi wa vijana kiuchumi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 24, 2023 na…

Bodi ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa TMDA yazinduliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo Oktoba 23, 2023 amezindua rasmi bodi mpya ya ushauri ya Wizara ya Afya (MAB) kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ambayo inawajumbe saba. Waziri Ummy wakati akizindua…

Prof. Ndalichako awataka mawakala wa ajira kuzingatia utu

NA Mussa Augustine, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amewataka Mawakala Binafsi wa Ajira ndani na nje wanapowatafutia Watanzania ajira nje ya nchi wazingatie utu na kwamba wasipofanya…