Latest Posts
Watanzania washauriwa kubadilika kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia ili kuongeza ufanisi
na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Arusha Watanzania wametakiwa kubadilika kulingana na kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia, ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na utoaji huduma, ikiwa ni pamoja na kujua aina bora ya matumizi ya yeknolojia na kukabiliana na…
Rais Samia awasili Zambia apokelewa na Rais Hichilema
Na Wilson Malima, Lusaka ZambiaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan tayarì amewasili Ĺusaka Zambia kwa ajili ya ziara ya siku tatu Oktoba 23 hadi 25, 2023. Rais Samia amewasili na kupokelewa na mwenyeji wake Rais…
Kiwanga: Akili bandia isiende kinyume na maadili ya Mtanzania
Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha Wadau wa wiki ya Asasi za Kiraia (AZAKI) ambayo imeanza leo jijini Arusha wamesema licha ya kuihamasisha jamii kupokea teknolojia mpya ya akili bandia lakini watahakikisha haiendi kinyume na maadili ya Mtanzania. Akizungumza na waandishi…
Ummy: Tuongeze kasi ya utoaji elimu na upimaji wa ugonjwa kifua kikuu
……………………………………………………….. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanlaus Nyongo ameishauri Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu (TB) na Ukoma kuongeza juhudi za utolewaji wa elimu kwa jamii na…
Wawili mbaroni kwa kutapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji
Na Mwandishi Maalum Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana…