Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani

Mheshimiwa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, sisi askari wastaafu wa Jeshi la Polisi tunakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ingawa kuna changamoto za hapa na pale. Tunakutia moyo na tunaomba Mungu akuzidishie hekima katika utendaji wako. Ndugu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ni kubwa. Inaundwa na Jeshi la Polisi,…

Read More