Latest Posts
Tanzania, China zakubaliana kuendeleza ushirikiano wa kimkakati
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo ya pande mbili na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Yi, na kukubaliana…
Mafanikio ya mapambano ya dawa za kulevya, wahamia kwenye ulevi wa pombe kupindukia
Baada ya Tanzania kupiga hatua kubwa katika kudhibiti na kukomesha biashara na matumizi ya dawa za kulevya, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema nchi sasa inakabiliwa na changamoto mpya ya kuongezeka kwa ulevi wa pombe,…
TEITI yaimarisha elimu kwa umma, kuhusu manufaa ya rasilimali za madini na gesi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imesema imeendelea kuhimiza uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali za nchi, ili kuhakikisha wananchi wananufaika na shughuli za uchimbaji…
Silinde akoshwa na hatua ya miradi mitatu ya umwagiliaji Mara, Shinyanga na Simiyu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde (Mb), ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya umwagiliaji ikiwemo ujenzi wa Bwawa la Nyida lililopo mkoani Shinyanga, Kasoli Bariadi mkoani Simiyu na Bugwema mkoani…
Makamu wa Rais afungua skuli ya sekondari ya Makunduchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema maendeleo yanayoonekana hivi sasa katika sekta mbalimbali Zanzibar ikiwemo sekta ya elimu ndiyo lilikuwa lengo la Mapinduzi Matukufu ambayo yalidhamiria kuboresha Maisha ya watu. Makamu wa…
Waziri Mkuu akutana na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Dk Kusiluka
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salam, Januari 9, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





