Latest Posts
Wabunge wachachamaaa wakitaka NEMC iwe mamlaka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamecharuka bungeni wakitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), liwe mamlaka ili iwe rahisi kuendesha shughuli zake. Wabunge waliochangia makadirio ya bajeti…
Uholanzi yaadhimisha siku ya Mfalme
Na Lookman Miraji Siku ya mfalme ni siku maarufu sana nchini Uholanzi. Siku hiyo ya wafalme hujulikana kwa jina la “Koningsday” kwa lugha ya kiholanzi na “King’s Day” kwa tafsiri ya lugha ya kiingereza. Siku hii ya wafalme hutambulika kama…