JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CAG aipongeza TARURA kwa ujenzi wa miundombinu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma‎ ‎Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ndg. Charles Kichere, leo Januari 9, 2026 ametembelea Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na kufanya kikao na Menejimenti ya Wakala huyo katika ukumbi…

Watumishi wa umma watakiwa kutambua wajibu wao ili kuboresha utendajikazi

Na Antonia Mbwambo – Manyara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray amewataka watumishi wa Umma kutambua wajibu wao katika kutekeleza majukumu ya kila siku ili kufanya kazi kwa uwezo, maarifa…

Silinde: Wakandarasi wazawa hakikisheni kunakuwa na tija katika miradi ya umwagiliaji

📍 Bariadi- Simiyu Serikali imewataka wakandarasi wazawa wanaotekeleza miradi ya Umwagiliaji nchini kuhakikisha miradi hiyo inaleta tija kwa wakulima na taifa kwa ujumla, ikisisitiza kuwa uzembe au kuchelewesha utekelezaji kutaibua hatua kali za kisheria dhidi yao. Rai hiyo imetolewa na…

Serikali yaweka mwongozo kuwabana mawakala wa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deo Sangu, ametoa mwongozo rasmi kwa mawakala wote wanaowatafutia Watanzania ajira nje ya nchi. Hatua hii inalenga kuondoa mawakala wasio halali waliokuwa…

Mmiliki wa kituo cha kulea yatima ahukumiwa jela maishakwa kubaka na kuwanyanyasa kingono watoto

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Pwani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha imemhukumu Stephano Anyosisye Mwasala (35), mkazi wa Msongola wilayani Kibaha, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuanzisha kituo cha kulelea watoto bila leseni, kubaka na kuwanyanyasa kingono…