JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mradi wa bilioni 2.4 watatua kero ya maji Moshi, wananchi 230, 784 kunufaika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Zaidi ya wakazi 230,784 wa kata tisa katika Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wa Karanga Darajani uliogharimu…

Ruhundwa alitaka Jimbo la Ngara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngara Katika kile kinachoonekana kuwa kiu ya kuwatumikia Wanangara na kuifanya Ngara kuwa kubwa kwenye ramani ya dunia, Hilali Alexander Ruhundwa amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Ngara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akielezea maono…

Mhasibu Mkuu Tanga achukua fomu ya Ubunge kuwania Kilwa Kusini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilwa Mhasibu Mkuu Mkoa wa Tanga, Ahmed Bongi amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania kuteuliwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bongi ambaye alikuwa Mhasibu Mkuu Mkoa wa Lindi kabla ya…

Israel yawauwa Wapalestina 30 ndani ya saa 24

Mashambulizi kadhaa ya anga ya jeshi la Israel kwenye Ukanda wa Gaza yameuwa takribani watu 30 na kuwajeruhi wengine kadhaa. Kwenye mashambulizi ya hivi karibuni zaidi, watu kumi wameuawa usiku wa kuamkia leo na zaidi ya 50 wamejeruhiwa, kwa mujibu…

Korea Kaskazini kutuma wanajeshi 30,000 nchini Urusi

Korea Kaskazini inakusudia kuongeza mara tatu idadi ya wanajeshi wake wanaopigana upande wa Urusi katika vita na Ukraine, na kutuma wanajeshi wa ziada 25,000 hadi 30,000 kusaidia Moscow, kulingana na shirika la ujasusi la Ukraine. Shirika la habari la Marekani…

Joto kali Ulaya laua, shule zafungwa

WIMBI la joto kali limeikumba sehemu kubwa ya bara la Ulaya, likisababisha shule nyingi kufungwa na vifo vya watu kuripotiwa katika nchi za Uhispania, Ufaransa na Ureno. Katika baadhi ya maeneo ya Uhispania na Ureno, viwango vya joto vimeripotiwa kuvuka…