Latest Posts
Ukikwamwa na mwiba wa samaki kooni, fanya hivi kuutoa
KITOWEO cha mchuzi wa Samaki ni mlo mzuri sana kwa wale wasiopenda mboga. Kuna aina nyingi ya samaki wanaopatikana, ikiwa ni pamoja na samaki wa baharini na samaki wa maji safi. Watu wengi wamekuwa wakila samaki kwa madai kwamba wana…
Rais Samia kupokea gawio la kihistoria leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, Jumanne, leo Juni 10, 20205 anatarajia kupokea gawio na michango mingine kutoka kwa taasisi za umma na kampuni ambazo serikali ina umiliki wa hisa chache, huku matumaini ya wataalamu…
Waziri Mkuu azindua mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA mwaka 2025
…………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 43 ili kuimarisha michezo katika shule mbalimbali nchini na kati ya hizo, sh. bilioni 32 ni kwa ajili ya kuimarisha Chuo cha Michezo Malya. Amesema shilingi bilioni 11 zimetengwa kwa…
Makamu wa Rais ahutubia mkutano wa Bahari wa Umoja wa Mataifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano wa kimataifa, na uwekezaji endelevu ili kuhakikisha uchumi endelevu wa bahari, kupunguza uchafuzi wa mazingira pamona…