Latest Posts
Tume ya Uchaguzi yapongezwa maandalizi uchaguzi Mkuu 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema…
Waziri wa Afya ahimiza usafi na matumizi ya bidhaa salama kwa wanawake
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Afya Janister Mhagama, ametoa wito kwa wanawake kote nchini kuhakikisha wanazingatia usafi wa mwili kwa kutumia bidhaa salama zilizoidhinishwa na mamlaka za udhibiti ili kujikinga na maambukizi hatari na magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari, shinikizo…
TARURA yapata tuzo ushirikishwaji jamii katika ujenzi wa barabara
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetunukiwa tuzo maalum ya ushirikishaji jamii katika ujenzi wa barabara yaani ” People Centered Design Approach”. Ushirikishaji huo ni kuhakikisha usanifu unajumuisha mawazo, mapendekezo na mahitaji maalum kwa ajili ya jamii itakayohudumiwa…
Ukatili dhidi ya watoto, vijana wapungua- Waziri Gwajima
Na WMJJWM-Dar es Salaam 📌 Serikali yaahidi kutumia matokeo hayo kupanga mikakati na mipango na programu mbalimbali ya Serikali za kupambana na Ukatili. Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema matokeo ya…
Ubalozi wa Denmark waadhimisha siku ya katiba ya taifa lao
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Siku ya Katiba ya Denmark ama pia maarufu kwa jina la (GRUNDLOVSDAG ) ni siku muhimu inayohusiana na historia ya katiba ya nchi hiyo. Siku hii inahusiana na kupitishwa kwa katiba ya kwanza ya Denmark mwaka…